waziri kiongozi wa kwanza zanzibar
Kama ACT watakuwa makini kulinda kura zao hakuna mgombea wa ccm atakayemshinda maalim Seif!!!
Kwa mujibu Msemaji wa Serikali ya Zanzibar, mwili wa Faki utapelekwa Zanzibar kwa ajili ya taratibu za mazishi. Mwinyi Hana kujulikana Sana na kukubalika Sana visiwani huko.Na Kati ya watu Hawa 2 mmoja wao anakwenda kuwa raisi wa visiwani naye ni PHD holder Mzee Mbarawa.Kumbuka tume ya uchaguzi ipl chini ya ccm zanzibar na maamuzi yanatoka bara dodoma.
JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you. Umerithi mikoba ya Pascal, maneno mengiii... Tofauti yako na Pascal ni kuwa hukuanza Ku declare interest! Hana hulka za kizanzibari na anayoonekana hafai kuishi ktk jamii ya znz. Ramadhani Haji Faki wakiingia katika viwanja vya Masjid Mushawar JavaScript is disabled. Mwinyi kazaliwa na kusomea Egypt kwa masomo ya msingi na skondari ya awali ingawa alihamia Tambaza baadae kwa A- level. # AzamTVUpdates # AzamNews. Marehemu Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki kwa maelezo ya Waziri Aboud, alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Watu 14 ya Chama cha Afro Shirazi (ASP) iliyoongoza Mapinduzi Matukufu ya Januari 12 mwaka 1964 chini ya uongozi wa Jemedari Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume. Nasikia wanampa Mbarawa!! Kujitokeza kwa makada hao kumeongeza idadi ya waliochukuwa fomu … Makada zaidi wa chama hicho wanaendelea kujitokeza kuchukua fomu, ambapo jana wanne walichukua fomu hizo. Mbarawa anaonekana ni wa kuja zaidi. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Zenjibari haitaki mzanzibara tukiwalazimisha sana na huyo Mwinyi wenu mlieshupalia watamwaga mboga! Nafikiri CCM znz wangesimama kidete kudai candidate aliyekulia na kulelewa znz. Taarifa zilizotoka Zanzibar … Inalillah waina ilaihi rajiun! ... Shein aliungana na viongozi wa dini, vyama vya siasa na Serikali, ndugu, jamaa, marafiki na wananchi mbali mbali katika sala ya kumsalia Marehemu Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki katika Msikiti Mushawar, Mwembeshauri, Mjini Unguja sala iliyoongozwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kahbi.Mazishi ya Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki yalifanyika kwa taratibu zote za Kidini na Kijeshi ikiwa ni pamoja na kutolewa salamu za heshima, salamu za Kijeshi pamoja na kupigia mizinga 17 zoezi lililoongozwa na Gwaride chini ya kiongozi wake Himid Alawi NguzoAkisoma Wasfu wa Marehemu Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki , Waziri Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mohammed Aboud Mohammed alisema kuwa Marehemu amezaliwa mwaka 1930 katika Kijiji cha Mkwajuni, Mkoa wa Kaskazini Unguja.Alisema kuwa Marehemu amesoma elimu ya Msingi hadi darasa la nane na baada ya kuhitimu masomo yake, alijiunga na Jeshi la Polisi ambapo pia, alipata mafunzo kwa muda wa miezi minane huko SOTCH LOGOSK, iliyokuwa USSR.Marehemu Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki kwa maelezo ya Waziri Aboud, alikuwa Mjumbe wa Kamati ya Watu 14 ya Chama cha Afro Shirazi (ASP) iliyoongoza Mapinduzi Matukufu ya Januari 12 mwaka 1964 chini ya uongozi wa Jemedari Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume.Aliongeza kuwa Marehemu alikuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi (MBM) Mwaka 1964 hadi mwaka 1984 ambapo pia, Marehemu amefanya kazi katika Jeshi la Polisi kwa muda wa miaka 14 akipitia ngazi mbali mbali kuanzia “Full Inspector, Acting Superintendent” mwaka 1964 hadi mwaka 1966 akawa “Full Superintendent.Waziri Aboud alieleza kuwa Marehemu Ramadhan Haji Faki mnamo mwaka 1964 hadi mwaka 1966 alikuwa Kiongozi wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar, na mwaka 1964 hadi mwaka 1977 Marehemu alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Umoja wa Vijana wa ASP na akawa mwanzilishi wa Kambi za Vijana Zanzibar.Alieleza kuwa mnamo mwaka 1968 hadi mwaka 1976 Marehemu alikuwa Mwenyekiti wa ASP wa Uagiziaji wa Bidhaa kutoka Nje na mwaka 1976 hadi 1977 alikuwa Mwenyekiti wa ASP, Bandari, meli na Uvuvi na mnamo mwaka 1976 hadi 1977 Marehemu alikuwa Mwenyekiti wa ASP, Hoteli, Utalii na Nyumba za Starehe.Aidha, alieleza kuwa Marehemu alikuwa Mwanachama Mtiifu wa Chama Cha ASP hadi mwaka 1977 kilipozaliwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuwa na kadi nambari 000061 ya CCM.Kwa maelezo ya Waziri Aboud mwaka 1980 hadi 1983 Marehemu alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Baraza la Mapinduzi na mwaka 1983 hadi mwaka 1984 Marehemu alikuwa Waziri Kiongozi wa Zanzibar.Waziri Aboud aliongeza kuwa wakati wa uhai wake, Marehemu alishiriki katika vita vya Kagera vilivyomng’oa adui, Nduli Iddi Amin Dada wa Uganda na kutokana na Ushujaa wake katika Jeshi alipewa jina la “One Man One Bomb”.Sambamba na hayo, Waziri Aboud alieleza kuwa Marehemu Waziri Kiongozi Mstaafu Brigedia Jenerali Mstaafu Ramadhan Haji Faki amefariki dunia Machi 28 mwaka huu wa 2020 huko Jijini Dar es Salaam.Alieleza kuwa hadi anafariki dunia Marehemu ameacha watoto watatu ambapo katika uhai wake alitoa mchango mkubwa kwa Taifa kwani alikuwa kiongozi mzalendo, Mwanamapinduzi, shujaa na mchapakazi.Aliongeza kuwa Marehemu Ramadhan Haji Faki ameacha pengo kubwa kwani alikuwa mstari wa mbele katika kutetea haki na maendeleo kwani aliweka mbele maslahi ya Taifa na ndio maana akashiriki katika kumng’oa Nduli Idd Amin huko Uganda.Hivyo, kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pamoja na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wanatoa pole kwa familia pamoja na wananchi wote wa Zanzibar.Pamoja na hayo, Waziri Aboud alieleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
George North Lions Try, Hi I'm Dave Ringtone, Mulberry Bayswater Small, Supremedreams Amber Alert, Lego 60228 Amazon, Head Injury Pdf, How Do You Get Straight As Joke, Ping Heppler Floki Review, How Tall Are The Obamas, Pioneer Ski Rental Frisco, Portugal National Anthem, Jane Hill Airlie, Saudi Arabia Ramadan Calendar, Mishal Husain Dominic Raab, Liga Pro Table Tennis, Wise Catalog Astronomy, How To Use Documents App, Dunham's Paddle Boat, International Tournaments Of Volleyball, Ryan Clarke And Hope Mikaelson, Paul Dirac IQ, Ronaldo Mulitalo Nationality, Etnies Logo Vector, Video Camera Cheap, Translate English To Inuktitut Syllabics, Siege Of Wexford, Gillian Greene Age, England Vs Republic Of Ireland Odi, T-Mobile Customer Service Spanish, Desiring God Covid,

